May 18, 2012

Mpenzi msomaji karibu saana, nna hakika kuwa haujakosea kwani hili ni eneo sahihi ambalo hautajuta  mala baada ya kutoka hapa! kwani uhalisia ni kwamba yapo mengi ya kujifunza ukiwa katika eneo hili........ningekushauli kutembelea zaidizaidi katika eneo la uweza wa neno Mungu na huko yapo mengi ya kujifunza, na kwa ujumla maisha yako yatabadilika kuwa mapya!Namaanisha badiliko la kweli..maana imenenwa kuwa " mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru" hivyo tunapata kujulishwa kuwa pasipo kweli hakuna uhuru! Taifa lolote, jamii au kikundi fulani ili kifanikiwe ni lazima kwanza kujitambua.... na kujitambua maana yake ni kuijua kweli!  hivyo ili kuendelea kwetu kutakuja ama baada ya kuijua kweli na kuwekwa huru.....mwenye uwezo wa kutuweka Huru ni Yesu pekee, wala sio Mtakatifu fulani, Mganga fulani, au Mafanikio fulani!
hivyo usisite kutembelea huko ukajifunze mengi....... karibu!
 

No comments:

Post a Comment